Swahili Online
:
Courses
:
Swahili 231
:
Lesson 3
: EXERCISE 5
[
« Previous Exercise
] [
Next Exercise »
]
Exercise 5: Multiple Choice (Question/Answer)
Choose the correct question for the answer given.
1.
huyu ni bwana Juma
huyu ni nani?
huyu ni babu?
2.
anatoka Illinois katika Marekani
anatoka wapi?
anatoka sasa?
3.
ninafundisha katika Chuo Kikuu cha Illinois
unafanya nini?
unafundisha wapi?
4.
wanakwenda nyumbani
wanakwenda wapi?
wanakwenda sasa?
5.
bwana Stanley na bwana Kevin wanasema Kiswahili
mabwana Stanley na Kevin wanasema Kiswahili?
bwana Stanley na Kevin wanasema Kiswahili?
6.
hatujambo
Hasani na Brian hamjambo?
bwana hamjambo?
[
« Previous Exercise
] [
Next Exercise »
]
Return to [
Lesson 3 Exercises
]